FRIDAY SERMON

You are currently viewing FRIDAY SERMON

📢 KHUTBA YA IJUMAA NA SHEIKH NURDEEN KISHKI 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Al-Haajar TV inakuletea moja kwa moja Khutba ya Ijumaa itakayoongozwa na Sheikh Nurdeen Kishki siku ya Ijumaa, tarehe 21 Februari 2025, kuanzia saa 12:30 mchana, katika Masjid Yussuf Migadini.

🌙 Mada: “Mambo 4 Yanayo Faraqanisha Familia”

Familia ni nguzo muhimu katika jamii, lakini changamoto mbalimbali zinaweza kuleta migogoro na kuvunja uhusiano wa kifamilia. Katika khutba hii maalum, Sheikh Nurdeen Kishki atazungumzia mambo manne makuu yanayochangia migawanyiko katika familia na kutoa mwongozo wa Kiislamu wa jinsi ya kuyatatua.

Usikose nafasi hii adhimu ya kujifunza na kupata mwongozo wa maisha kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu. Karibuni wote!

📡 Watch the Live Broadcast on:
📺 AlHaajar TV Kenya
💻 www.alhaajar.tv 📲 YouTube & My AlHaajar App

🔹 Follow & Stay Connected:
Instagram: @alhaajartvkenya
Twitter (X): @alhaajartvkenya
Facebook: @alhaajartvkenya
YouTube: @alhaajartvkenya
TikTok: @alhaajartvkenya

🔥 SHARE, COMMENT & SUBSCRIBE for more updates! 🔥

© Al-Haajar TV Kenya 2025